Jukwaa Bora kabisa

Karibia yote isipokuwa dini na siasa unaweza ingia na furaha lkn siku yako ikaharibikia huko..
Haya majukwaa inapasa kutia mguu mmoja kwanza ikiwa ni vyema ndipo unatumbukiza wa pili?
 
Hayo majukwaa hayafai, ukiingia kichwakichwa ban nje nje.
 
basi huwaga silishabikii kivile ila mara moja naendaga kuweka thread tu na kutoka,

wala sijaumizwa na yeyote hapa nawapenda wote humu mjengoni kwani ni marafiki zangu wa dhati hata wewe pia
hizo ni dalili za kuumizwa moyoni, eneo la mahusiano. . pole
 
basi huwaga silishabikii kivile ila mara moja naendaga kuweka thread tu na kutoka,

wala sijaumizwa na yeyote hapa nawapenda wote humu mjengoni kwani ni marafiki zangu wa dhati hata wewe pia

Yawezekana pia ikawa nje ya hapa. ahsante kwa upendo wako, nakupenda pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…