E EDDIE NTUTU New Member Joined May 25, 2011 Posts 2 Reaction score 0 May 25, 2011 #1 Jameni! nijambo la kushangaza kwa vijana wa umri ndogo kupoteza mwelekeyo,hivi ni kuwa mtu unalelewa kama mwelekeo huna,wazazi huwasaidii,shule unaenda shingo pande,kuamka ni saa tano,kazi twachukuwa miaka kuchagua,mungu tumemsahau......jameni!?
Jameni! nijambo la kushangaza kwa vijana wa umri ndogo kupoteza mwelekeyo,hivi ni kuwa mtu unalelewa kama mwelekeo huna,wazazi huwasaidii,shule unaenda shingo pande,kuamka ni saa tano,kazi twachukuwa miaka kuchagua,mungu tumemsahau......jameni!?