Goodvision JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 858 Reaction score 467 Jan 13, 2013 #1 Kuuliza si ujinga jamani,nimesikia sana kuhusu hii juisi ya kijoti.ni ipi hasa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,627 Jan 14, 2013 #2 ni juisi ya Azam ipo kwenye kibox mithili ya sambusa hivi...mara nyingi huuzwa ikiambatananishwa na kamrija pembeni
ni juisi ya Azam ipo kwenye kibox mithili ya sambusa hivi...mara nyingi huuzwa ikiambatananishwa na kamrija pembeni