Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
-
- #21
Maziwa siweki sukari kabisa naweka maziwa ya kutosha nakadiria na tende nilizowekaSasa hapo unatoboaje!?
Kwahio ili sukari isiwe ya kuzidi unafanyaje au unaweka lita nzima kwenye tende mbili!?Maziwa siweki sukari kabisa naweka maziwa ya kutosha nakadiria na tende nilizoweka
Hapana uweki kabisa sukari unapo temgeneza pia maziwa yawe mengi unaweka kidogo kidogo ili isiwe nyepesiKwahio ili sukari isiwe ya kuzidi unafanyaje au unaweka lita nzima kwenye tende mbili!?
Hahahha napenda ndiz sanaMzigo wote wa ndizi unakata mkuu ,?
Unaziroa mkuu nimeonyesha hapo juuMbegu unatoa ama unaziblend pia ? Tende bana matamu sana, yananishinda!": juice yake sijawah kunywa
Ahahha kabisaNi kujipenda tyu, hapo na kachumbar za kulia hizo ndizi aloπ
Sawa hatuelewani sehemu moja tu, Tende ina asili ya sukari hivyo obvious atakaeweka sukari ana matatizo ya akili. Nachosemea ile sukari ya tende unaipunguzaje?!Hapana uweki kabisa sukari unapo temgeneza pia maziwa yawe mengi unaweka kidogo kidogo ili isiwe nyepesi
Si umezoea mi castle light mzee babaMnakabiliana vipi na sukari ilioko kwenye hio juiceπ!? Maana binafsi tende moja tu sukari yake kwenye ulimi hufanya mwili wangu wote kusisimuka.
Niliwahi agiza juice ya tende katika mgahawa mmoja Mlimani City ilinishinda.
Wekea chloroquine ππSawa hatuelewani sehemu moja tu, Tende ina asili ya sukari hivyo obvious atakaeweka sukari ana matatizo ya akili. Nachosemea ile sukari ya tende unaipunguzaje?!
Eeh hayo mambo ya tende magumuSi umezoea mi castle light mzee baba
Kwa maziwa mengiSawa hatuelewani sehemu moja tu, Tende ina asili ya sukari hivyo obvious atakaeweka sukari ana matatizo ya akili. Nachosemea ile sukari ya tende unaipunguzaje?!
juzi kuna mtu ka blend bonge la kopo nikamuuliza la nini anasema mundende!..Eeh hayo mambo ya tende magumu
We su mlevi πMh! sijui sana ila namashaka!, tunda lolote ukishalisaga na maziwa hiyo inakuwa si juice tena!, hiyo inakuwa ni smoothie!.
Binafsi tende kama tende sipendelei sana it's better to make dates milkshake so that you can mix with ice creams like vanilla flavour or any kind of flavour!.
To be honest i prefer this drink it's for the kids!..π
Mh! kuna vitu ukija kuvijua utafaidi sana wewe inatakiwa ukalishwe mahali upewe somo kwa kutest utaacha hayo matende!, tende zinaumiza meno babu!We su mlevi π
Iyo kitu ishanishindaMh! kuna vitu ukija kuvijua utafaidi sana wewe inatakiwa ukalishwe mahali upewe somo kwa kutest utaacha hayo matende!, tende zinaumiza meno babu!