Juice ya muwa

Juice ya muwa

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
jamani napata wapi mashine yakukamulia juice ya muwa,pi ninamahitaji ya vikombe vyakaratasi vile vinavyotumika mara moja tu.pia ile mashine yakuchanganyia juice.
Naomba kusaidiwa..
 
Mashine utapata SIDO, vikombe kkoo, mashine ya kuchanganya juice (juice dispenser) kkoo pia.
 
nimependa majibu yake kaka,na ndio mpango.

Haina shida kuu allina...............kama wewe umeridhika mi naona poa sana maana ukifanikiwa wewe najua wanaokutegemea pia wanasigea!!!!!!

All best mkuu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
jamani napata wapi mashine yakukamulia juice ya muwa,pi ninamahitaji ya vikombe vyakaratasi vile vinavyotumika mara moja tu.pia ile mashine yakuchanganyia juice.
Naomba kusaidiwa..

Contact me... Ndio kazi zangu. 0779420000
 
Back
Top Bottom