Juice Dispenser used inauzwa

Juice Dispenser used inauzwa

newbegin

Senior Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
109
Reaction score
16
Habari
Hii juice dispenser inauzwa, ni yangu mimi ila imeshatumika mda flani ila inafanya kazi

Bei yake ni sh laki tano(500,000) ila inapungua kiasi

kwa mawasiliano nicheck hapa 0689154853 ,nipo temeke pale keko maliasili

picha

1470149309484.jpg
1470149321441.jpg
1470149328823.jpg
 
bado ipo anayehitaji anicheck 0689154853 bei imepunguzwa
 
Back
Top Bottom