Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa

...kaa ukijua
1. Zinaa ni uchafu
2. Zinaa inaleta ufakiri (umaskini)

Tunafanya tuu Basi Ila zinaa mbaya sana,ubaya unaongezeka zaidi pale unapokuwa na mke wa ndoa afu ukawa unaendekeza huu uchafu.

Ndo Mana sheria ya dini inasema..

1. Wazinifu wasio oana wakikamatwa watandikwe bakora 100 za nguvu

2. Wazinifu walio oana wapigwe mawe wafe kabsa..

Na mzinifu ata muoa mzinifu mwenzake..

Eeh Mola tusamehe viumbe vyako...ujana huu utupite salama.
Wewe wasema
 
Hongera..

Pia.. hakikisha Mkeo anapata Huduma stahiki.. mtunze mpendezeshe.. na uhakika atazid kukuvutia
 
Ni ngumu na inahitaji imani ya kweli (Sijafanikiwa bado)

Kwa mujibu wa imani yangu, kufanya tendo la ndoa na mwanamke ambaye hujafunga naye ndoa huitwa ZINAA, UZINZI, UZINIFU na ni makosa makubwa. Lakini kutokana na kuikosa imani basi nilijikuta nimezama sana katika mambo hayo (ZINAA)

CHANZO CHA KUZAMA KATIKA MAASI HAYO

Kama inavofahamika kuwa kila jambo huwa halikosi sababu walau ni za kijinga. Basi miongoni mwa mambo ambayo yalinifanya kuzama huku ni haya machache katika mengi;-

1. KUKOSEKANA KWA IMANI THABITI
Nililelewa katika misingi ya dini, lakini baada ya kuanza kujitegemea nilianza kupuuza na kupotea katika ramani ya dini na kuanza kuigeukia dunia na kujua inatakaje.

2. MAKUNDI YA MARAFIKI
Baada ya hiyo point ya kwanza hapo juu, sasa ndipo nikakutana na walimwengu wenye dunia yao na kunionyesha mambo ya anasa jinsi yalivyo.

Kiukweli kabisa marafiki wabaya ni miongoni mwa watu ambao wanaweza kuibadili tabia yako ndani ya mda mchache na kujikuta umetumbukia mahala ambako siko

3. MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO
Baadaye nilianza kujuzwa juu ya mitandao ambayo baadaye niliitumia kinyume na maadili. Kwani baadaye nilikuwa muathirika mkubwa sana wa picha za ngono, magroup ya malaya n.k

Ziko sababu nyingi ambazo zilinipelekea katika kadhia hii ovu, lakini hapo nimorodhesha tatu tu ili nisikuchoshe msomaji wangu. Lakini ziko changamoto kadha wa kadha ambazo zilinikumba katika hiki kipindi cha uzinifu wa kupita kiasi.

HASARA NILIZOKUMBANA NAZO

1. Kupoteza pesa nyingi

Ilifika kipindi kwa siku moja naweza kutembea na wanawake wawili au watatu. Na kila mwanamke nilikuwa namlipia gest yake ili nisije kugonganisha magari. Hii iligharimu pesa nyingi ikiwemo
  • Malipo ya gest
  • Kuwahonga
  • Kondom
  • Chakula na vinywaji n.k
2. Kupata aibu
Miongoni mwa aibu ambazo sitozisahau ni pale nilipo wagonganisha mtu na dada yake wa damu kabisa. Kiukweli walinichamba kichambo ambacho kamwe sitokaa nije nikisahau.

3. Sina uhakika juu ya afya yangu
Hapa ni kwasababu ya kuuza baadhi ya mechi kutokana na mihemko. Kiukweli tangu nimezaliwa sijawahi kupima kitu kinaitwa VVU. Lakini kutokana na kuuza hizo mechi kwakweli hapa sina uhakika na afya yangu. Na kamwe sitopima NG'OOO

4. Kunusurika kipigo

Sikumbuki kama nishaleta uzi wa kunusurika kipigo, ila ni kwamba baada ya ku date na mke wa mtu na mwenyewe kupata taarifa akawa ananiwinda. Uzuri ni kwamba nami nilizipata na nikaamua kuhama mji na show ikaisha hivo. Lakini maisha yangu yalikuwa na wasi wasi sana.

5. Laana ya wazazi
Baba na mama walipelekewa kesi kuwa natoka na mke wa jamaa, kiukweli ilikuwa ni kweli na walijiskia vibaya kiasi cha kunambia niache ujinga huo ama mimi sio mtoto wao. (Si laana hiyo ndugu yangu?)

6. Ndoa isiyotarajiwa
Mwisho wa siku nilikuja kumpachika mimba mtoto wawatu na hatimaye wazazi wake hawakukubali na kusema lazima nimuoe. Kwakweli nami nikafanya hivyo ikanilazimu nimpende tu hakuna namna.

Ambaye ndiye mke wangu mpaka sasa na tuna watoto wawili (Naomba tu asije akausoma uzi huu)

7. Kuyumbisha ndoa yangu
Kwa kuwa nilikwisha zoea kudunga nyapu tofauti, kwakweli ilikuwa ngumu sana kuacha (Japo sijafanikiwa 100%)
Nilijibana sana mke asijue, lakini tabia ni kama jipu, mwisho wa siku aligundua na akagundua na akagundua tena na tena. Alilia sana na kulia (Lakini sasa inatosha)

Kutokana na changamoto hizo, nikawa najilazimisha kufanya ibada na kumuomba Mungu aniepushe katika janga hili. Na nilianza juhudi zifuatazo (Kusudio la mada)

1. Kutambua kuwa Mungu yupo
Niliamua kuanza kusoma sana maandiko ya Mungu kwa mujibu wa imani yangu, kitendo ambacho kilinifanya kuanza kujawa na imani na kuanza kupuuza baadhi ya maasi.

2. Kujilazimisha kufunga
Nilianza kufunga siku za jumatatu na Alhamisi (mara mbili kwa wiki) ingawa mke wangu hakupenda lakini hakujua kwanini nafanya vile. Alilazimika kukubali kishingo upande kwa kuwa hakuwa na jinsi. Lakini mimi ndiye ambaye nilijua nafunga kwa ajili gani.

Leo ikiwa ni alhamisi niko kwenye swaumu kama kawaida (Namshukuru Mungu)

Kiukweli kufunga kunapunguza sana matamanio ya wanawake

3. Kuwapotezea michepuko taratibu
Nilianza kuwapotezea maadhi ya mademu kidogo kidogo na waliana kupukutika mmoja baada ya mwingine ingawa bado hawajaisha.

4. Kujilazimisha na ibada za usiku

5. Kutambua kuwa kuna maradhi

Kama nilivyosema kuwa mpaka sasa sijuji afya yangu, lakini tufanye kama sijapata maambukizi yoyote basi sasa ni wakati wa kuendelea kuitunza afya yangu. Na kama nimeathirika basi nisiwaathiri na wengine wasio na hatia.

6. Kukataa magenge

MAFANIKIO MPAKA SASA

Yafuatayo ni baadhi ya mafanikio na hatua ambazo nimebahatika kuzifikia (Niombeeni sana)

KUIONA LADHA YA NDOA
Baada ya kutoka kazini saa 11 ni nyumbani kucheza na wanangu. Mke anafurahia nami nafurahia kuona familia yangu inafurahia uwepo wangu.

MIEZI 6 BILA KUCHEPUKA
Juhudi nilianza mda mrefu lakini mpaka sasa nashkuru nina miezi 6 sijachepuka. Huu nimuda mrefu sana kwangu na naiona ni hatua kubwa sana. Najua huenda wengine wakabeza ila kwangu nashkuru sana.

PESA NAIONA
Naam
Sasa naweza kuweka akiba kidogo angalau nikaona chochote baada ya muda.

TANBIHI
Hapa ni mwisho wa mada yangu ila kwa ambao mtaridhishwa na juhudi zangu basi muniombee sansa nisirudi kule.

Lakini pia nawaomba radhi kwa uandishi m bovu ambao huenda wengine wasifurahie

Niwatakie siku njema na nawapenda sana.

Nakaribisha maoni ya aina yoyote kwani nadhani kuwa kwakuwa nipo Behind the camera basi wasifu wangu hautajulikana kwa hakika.

Asanteni
Penye nia pana njia! Ni vizuri umetambua udhaifu wako na kuachana nao. Kila la kheri!
 
Hongera sana Mungu azidi kukubariki kwa hatua ulizo zichukua mthamini sana mke wako na umpende huyo ndio halali yako dunia tunapita zinaa ni starehe ya muda mfupi ila madhara yake ni makubwa
 
Hongera Sana, Allah akufanyie wepesi insha'Allah
 
Nnaamini uzi huu utafikirisha watu wengi wenye tabia kama ulizokuwa nazo, hongera kwa kujitambua
 
hongera mkuu itabidi na mods waufanye huu uzi kua special
 
kumrudia mungu na kukiri uwepo wake ni jambo la kheri sana mkuu
mnyazi akujalie mema
 
Naomba uniombee sana Na mm Mkuu niweze kuacha niwe na njia kama yako maana nimekuzidi kwa kila hali kweny vipengele vyako
 
Back
Top Bottom