Juhudi binafsi zinahitajika

scrutinize

Member
Joined
Jan 14, 2022
Posts
15
Reaction score
11
Wakuu hongereni kwa kuendelea kuweka nguvu na akili katika kuhakikisha maisha yanabadilika kwa matokeo chanya
Binafsi katika harakati za hapa na pale nimeendelea kuona kwamba katika harakati za kubadirisha maisha utegemezi wa mazingira bora na wezeshi kwa mamlaka mbalimbali ni muhimu lakini juhudi binafsi ni muhimu zaidi ziwe msatari wa mbele kabisa

Scrutinize

Sent from my Infinix X606C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…