Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mungu hausiki na maovu ya duniani.Hayo Mambo yalikuwa yameshapangwa na Mungu kwa hiyo lizima ingetokea tu Kama ilivyopangwa...mfano kwenye fictional movies Kuna scenes sisi watazamaji huwa hatutamani ziwe Kama zilivyo bt hatuwezi kubadilishia maana wanaogiza wanafata scripts tu
Mtu aliyejinyonga hana nafasi mbingun labda kaburini.Ndo kusudi lake kuletwa Duniani
Unaweza ukashangaa Yuko zake mbinguni anaenjoi
Ule ulikuwa utabiri ndio maana ukatimia, huoni mambo mengine yaliyotabiriwa yanazidi kutimia?I come in peace.
Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
Hayo Mambo yalikuwa yameshapangwa na Mungu kwa hiyo lizima ingetokea tu Kama ilivyopangwa...mfano kwenye fictional movies Kuna scenes sisi watazamaji huwa hatutamani ziwe Kama zilivyo bt hatuwezi kubadilishia maana wanaogiza wanafata scripts tu
Na ili kumfanyia fairly akatangulizwa kuzimu kabla ya Yesu, kusudi Atubie uovu wake kule kuzimu.I come in peace.
Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
I come in peace.

Angalia kinywa chako kitakuponza,sio kila neno unatukana,adhabu kali wewe na kizazi chako inakusubiri,nyie mlio zaliwa kwenye familia za kishenzi huwa hamna adabu kwa jambo lolote hata matakatifu ya Mungu huwa mnatukana,chunga sana ulimi wako ndugu:Mungu sio mwanadamu..Mbinguni ya nyoko