Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Bi. Juby Msuya mbaye ni Muandaaji wa Tuzo za Business Awards na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), UWT, UVCCM na Umoja wa wazazi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa Mgombea wa Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam kupitia UWT.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Juni 28, 2025 ndiyo siku ya kwanza ya ratiba iliyotolewa na CCM kwaajili ya watia nia wa nafasi mbalimbali zinazowaniwa kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu kuweza kuchukua fomu kwenye Ofisi za ngazi mbalimbali za Chama hicho tawala.