Nie munamwariko? Usisahau na pilipili kama kawaida yaoVipi kadi za mwaliko zinapatikana wapi?
mkuu umeniacha kidogo hapa ulikuwa unasema...................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Duh! type zenu kwa minuso.......umeambiwa usisahau pilipili na ndizi.Vipi kadi za mwaliko zinapatikana wapi?
Keep on waiting an angel to lead your party.....Chadema waachie wana Chadema wenyewe.nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!
huna hoja wewe kwani wenye hoja hawaji kama ww ufanyavyo,unaposema huyu bwana aondoke ainisha basi anaondoka kwa sababu gani hapo ndio utaanza kujenga hoja
keep on waiting an angel to lead your party.....chadema waachie wana chadema wenyewe.
uongozi wa cdm chini ya hiki kichwa ndio umewakosesha usingizi magamba.
nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!
operation sangara+chama kukosa mtandao+kukoswa wanachama+migogoro ya kiuongozi pale juu kuanzia chacha wange!!!wakina zitto!!!ukanda!!!!!tudiscusss hayo tuone mapungufu yake na uongozi wa kamanda mbowe!!!!
Kumbe ni kopo tupu bila mfuniko.wananchi wamechoka tu kaka!!!kama walivyochoka 1995!!!sio kwamba mrema was strategic!!!!