• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Jua programu zenye nguvu kwajili ya Ethical Hacking

rootadmin

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
349
Points
250
rootadmin

rootadmin

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
349 250
Moja kwa moja ningependa nianze na programu hzo.

1)METASPLOIT FRAMEWORK
Metasploit ni software ambayo inatumia kanuni ya "exploit" ambayo ni code yenye uwezo wa kupenyeza katika system security (firewall). ikisha penyeza inaenda kuweka "payload" Payload ni kama virus ambayo inamuwezesha mdukuzi kupata kuwa na uwezo wa kutawala computer au simu yako na kufanya kitu chochote kile anacho hitaji.2) WIRESHACK
Hii ni program inayofanya kazi kwenye local system yani inside LAN or WAN inauwezo wa kuona packets ambazo kila computer kwenye hiyo LAN or WAN zinacho fanya kwa mtindo wa log. inauwezo wa ku capture kitu unacho andika kutegemeana na ports sana sana TCP na UDP ports.3)W3AF
W3af kwa kirefu ni Web Application Attack and Audit Framework.
kazi ya hii programu ni kutafuta vulnerability kwenye websites. inauwezo wa kuscan website bila hata ya web application firewall kujua. Weaf inatumia command line na GUI pia. ipo pre installed kwenye Operating za kali,backbox,parrot.ITAENDELEA..........
 
Bralicom

Bralicom

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
575
Points
500
Bralicom

Bralicom

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
575 500

hatariiiiiiii
 
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
1,187
Points
2,000
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
1,187 2,000
usalama upo tena sana tuu ni wewe.
Hizi ni program za kulipia au ni free?
Shukurani kwa elimu.
Nahitaji program itakayoniwezesha kuingia kwenye pc yyte hata km aliweka password.
 
rootadmin

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
349
Points
250
rootadmin

rootadmin

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
349 250
Hizi ni program za kulipia au ni free?
Shukurani kwa elimu.
Nahitaji program itakayoniwezesha kuingia kwenye pc yyte hata km aliweka password.
hizo zipo katika sehemu mbili kuna za free na zinazo uzwa.. za free zinakuwa limited but zinazo uzwa zipo full
 
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
1,187
Points
2,000
McMahoon

McMahoon

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
1,187 2,000
hizo zipo katika sehemu mbili kuna za free na zinazo uzwa.. za free zinakuwa limited but zinazo uzwa zipo full
Shukurani. Ila bado haujanijibu. Nahitaji program ya kuniwezesha kuingia kweny pc yyte ile ninayoitaka yenye password.
 
Forum statistics

Threads 1,402,694
Members 530,969
Posts 34,402,487
Top