Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 4,771 Reaction score 7,440 Aug 24, 2025 #1 Wako watakaofanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii Wako watakaofanikiwa kwa sababu wanajua kuna wengine wanajua mambo mengi ila hawajafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya connection, wengine wana connection ila hawafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya ujanja na udanganyifu Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya kufurahisha watu fulani wenye uwezo na mamlaka Wako watakaofanikiwa kwa ubaya (wizi, utapeli, kuumiza wengine n.k), wengine watatumia ubaya hawafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa uaminifu na wengine watakuwa waaminifu na hawatafanikiwa Wengine watafanikiwa kupitia wake au waume zao Wengine wamefanikiwa kupitia majina ya watu wengine Wengine wamefanikiwa kwa kucopy kazi za watu wengine yaani wao ni mabingwa wa kuiga na wamefanikiwa Mtihani ni kujua ni njia ipi ya mafanikio unayotakiwa kupitia
Wako watakaofanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii Wako watakaofanikiwa kwa sababu wanajua kuna wengine wanajua mambo mengi ila hawajafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya connection, wengine wana connection ila hawafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya ujanja na udanganyifu Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya kufurahisha watu fulani wenye uwezo na mamlaka Wako watakaofanikiwa kwa ubaya (wizi, utapeli, kuumiza wengine n.k), wengine watatumia ubaya hawafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa uaminifu na wengine watakuwa waaminifu na hawatafanikiwa Wengine watafanikiwa kupitia wake au waume zao Wengine wamefanikiwa kupitia majina ya watu wengine Wengine wamefanikiwa kwa kucopy kazi za watu wengine yaani wao ni mabingwa wa kuiga na wamefanikiwa Mtihani ni kujua ni njia ipi ya mafanikio unayotakiwa kupitia
Tanzanians JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 251 Reaction score 368 Aug 24, 2025 #2 Mda sio mrefu watakuja
Hyrax JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 1,417 Reaction score 4,301 Aug 24, 2025 #3 Maisha ni Gambling
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,056 Reaction score 22,608 Aug 24, 2025 #4 Busu la Kenge said: Dogo hongera naskia madem humu jamvini wanadai eti wewe ndo mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF. Click to expand... Huyu ni rais ajaye! Kwa ufupi 2030 lazima atiki
Busu la Kenge said: Dogo hongera naskia madem humu jamvini wanadai eti wewe ndo mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF. Click to expand... Huyu ni rais ajaye! Kwa ufupi 2030 lazima atiki
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,543 Reaction score 4,656 Aug 24, 2025 #5 aise said: Huyu ni rais ajaye! Kwa ufupi 2030 lazima atiki Click to expand... Ritz akikusikia patachimbika.
aise said: Huyu ni rais ajaye! Kwa ufupi 2030 lazima atiki Click to expand... Ritz akikusikia patachimbika.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,189 Reaction score 30,733 Aug 24, 2025 #6 Kufanikiwa ni aje kwani?