Jua maana ya neno Msimbe

Jua maana ya neno Msimbe

jangala1

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Mwenye kujua maana halisi ya neno MSIMBE anaweza kushuka hapa maana yake, nakutana nalo mara kwa mara ila sifahamu maana kamili !!!
 
Kwa kiñakyüsa Msimbe =muandike
mf: Na msimbe mwidaftari
Na muandike kwenye daftari
other related words
1.simba(bhikusimba,mkusimba,ikusimba)
2.msimbile(asimbile,bhasimbile,nisimbile)
3.msimbeghe
 
Kwa watu wa kigoma: Mtindi maana yake nini? Nilipewa angalizo kutumia hilo neno mkoani humo!
 
Msimbe ukiwa kigoma maana yake ni mwanamke au binti aliyezakishwa akaachwa bila kuolewa "lazima azalishwe ndo msimbe litamfaa mtu"
 
Msimbe mwanamke ambae ameachika/hajaolewa na ana mtoto
 
Kwa kiñakyüsa Msimbe =muandike
mf: Na msimbe mwidaftari
Na muandike kwenye daftari
other related words
1.simba(bhikusimba,mkusimba,ikusimba)
2.msimbile(asimbile,bhasimbile,nisimbile)
3.msimbeghe
Hehehee! Gwe kinyamana nguubhona kukijobha ikyitu
 
Back
Top Bottom