white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,891
Ndo ujue s'wanga sio mchezo, pole kwa kuunguliwa na laptop
kweli tembea uone maajabu usisubili kuambiwa mambo ya sumbawanga,leo hii hapa mpanda(katavi)imepiga radi hiyo hu ku jua ni kali sana hadi imeunguza laptop yangu jamani,cha ajabu nyumba niliyofikia ina circuit braker ikajizima!ila haikusaidia!ila wenyeji wa huku wanasema hiyo ilikuwa inatafuta mtu,nilijua ni bomu kwani sijawahi shuhudia radi huku jua linawaka!cjui wanasayansi mnatwambia nini?[/QUOTE
Mpanda ni mkoa wa katavi na sumabawanga ipo mkoa wa rukwa