Kweli mkuu mimi pia ni muathirika wa hillo. Nimesamehe lakini nimehuta majuto ya firaoun.na athar zake bado ninaishi nazo.
Easier said than don
Tatizo ni kwamba hatuna uhakika kama kweli majina yetu yameandikwa mbinguni...sasa hapo utakuwa na furaha kweli?Huwezi kuipata FURAHA kwenye physical au hata Abstract items; Utakuwa disappointed sana, kwa maana vitu hivi vitakapotoweka na furaha yako itatoweka. FURAHA ya kweli utaipata SPIRITUALLY kutoka kwa MUNGU. YESU anatuonya kuitafuta FURAHA nje ya MUNGU;
"...bali FURAHINI kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni." - Luka 10:20b
Ha ha ha! You have to be, you know yourself &the relationship you have with God better than anyone else ... Faith will give you everything! Cha msingi ni kuwa, the root of your joy should be from God. He never let anyone down!Tatizo ni kwamba hatuna uhakika kama kweli majina yetu yameandikwa mbinguni...sasa hapo utakuwa na furaha kweli?
Yes u are right...at the end it all comes down to praying for the grace of God.Ha ha ha! You have to be, you know yourself &the relationship you have with God better than anyone else ... Faith will give you everything! Cha msingi ni kuwa, the root of your joy should be from God. He never let anyone down!
"Maana mtini hautachanua maua, Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda; Taabu ya mzeituni itakuwa bure, Na mashamba hayatatoa chakula; Zizini hamtakuwa na kundi, Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng'ombe; Walakini NITAMFURAHIA Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu." - Habakuki 3:17-18
Ndugu yangu tatizo liko hivi mimi ninayofuraha....nimeamua kufanya jambo kwa MTU kwa lengo lakuShare Furaha yangu mwisho wa Siku niliemshirikisha Furaha yangu kanitenda mabaya.....hapo vipinawaambieni. huwezi kutoa kitu ambacho huna na ukiwa mchoyo usitegemee wewe kupewa. kama kweli furaha mnaitaka nilazima mtafute amani ndani ya nafsi zenu ndipo mtaweza kutoa na kupokea furaha na amani. na ukiamua kumfanyia mtu kitu ambacho wewe unahisi nikizuri usiweke matarajio ambayo yatakufurahisha nafsi yako. hapo ndipo maranying matatitzo huanzia
Ndugu yangu tatizo liko hivi mimi ninayofuraha....nimeamua kufanya jambo kwa MTU kwa lengo lakuShare Furaha yangu mwisho wa Siku niliemshirikisha Furaha yangu kanitenda mabaya.....hapo vipi
Bila afya nzuri hivyo vyote ni buremke mzuri,nyumba nzuri,watoto na usafiri nzuri.
nawaambieni. huwezi kutoa kitu ambacho huna na ukiwa mchoyo usitegemee wewe kupewa. kama kweli furaha mnaitaka nilazima mtafute amani ndani ya nafsi zenu ndipo mtaweza kutoa na kupokea furaha na amani. na ukiamua kumfanyia mtu kitu ambacho wewe unahisi nikizuri usiweke matarajio ambayo yatakufurahisha nafsi yako. hapo ndipo maranying matatitzo huanzia