Kwa mfano ,ww familia yako ni maskin lakin una mashamba yenye rutuba nzuri,mistu asiria,wanyama poli pamoja na rasilimal zote zilizoko chin ya ardhi na juu ya ardhi yako lakin hua unaztumia rasha rasha,sasa kuna familia tajir ikagundua utajiri huo kuwa unao lakin baba wa familia na watoto wanaona kama ni vtu vya kawaida hawavijali tena hawavitumii ipasavyo.Hii familia tajili ikasema nitakuwa nawasaidia kimaisha ili muondokane na umasikin kwa kuwapa fedha kiasi mzitumie vizuri lakin nataka kwenye familia yenu msigombane kabisa,tena nataka mnipe baadhi ya ardhi nfanye utafiti kama naweza fanya uzalishaji kwa ujinga wa umaskin wenu mkakubali,sasa kizazi ya familia masikin kimebadilika na kujitambua kinaonyesha dalili za kuto mtegemea hyu tajili unafikili tajili atawaza nn juu ya kipande cha ardhi ulicho mpa,kujinasua inabid ukutishie kutlkukupa kile kifedha aone je bado unamsimamo uleule,swali je akishaondoa kile kifedha chaki familia yako itabidi ifanye nn kwa rasili mali zote hapo juu zilizotajwa?