Napata wasiwasi na mwenendo wa chama cha mapinduzi ktk awamu hii ya tano. Hali ndani ya chama hiki bila shakai ni tete sana.
Katibu mkuu wa chama hiki kongwe amejitenga nacho na sasa yupo kimya.
Aliyekuwa katibu wa itikadi na uenezi, ambaye sote tunajua alikitoa chama hicho shimoni hana raha tena ndani ya chama hicho.
Wanachama wengi wakubwa kwenye ushawishi mkubwa mfano, Mwandoaya, Membe, Mkapa, n.k sasa wamekitelekeza kabisa chama.
Kitendo cha Lazaro Nyalandu kujiondoa ccm leo na sababu alizozitoa ni mwanzo tu wa wengi waliokichoka chama na kuchoshwa na mwenendo mbaya wa serikali ya awamu ya tano.
Kuna kila sababu kwa mwenyekiti wa chama hiki ngazi ya kitaifa kukaa chini na wanaccm wenzake ili kutathimini ni wapi wameteleza.
Wewe nawe? Nape alikuwa kinara wa bao la Mkono na kuzuia Bunge live leo awe shujaa? Nyalandu tulimuuliza Twiga kapandaje ndege? Vp vibali vya uwindaji? Kuhojiwa tu anakimbia Chama? Sasa tulikuwa tunahoji nn? Kama kinakufa c ndiyo vizuri? Leo huruma unaitoa wapi kwa JPM? Kikifa c ndiyo UKAWA wanachukua nchi! Au?Napata wasiwasi na mwenendo wa chama cha mapinduzi ktk awamu hii ya tano. Hali ndani ya chama hiki bila shakai ni tete sana.
Katibu mkuu wa chama hiki kongwe amejitenga nacho na sasa yupo kimya.
Aliyekuwa katibu wa itikadi na uenezi, ambaye sote tunajua alikitoa chama hicho shimoni hana raha tena ndani ya chama hicho.
Wanachama wengi wakubwa kwenye ushawishi mkubwa mfano, Mwandoaya, Membe, Mkapa, n.k sasa wamekitelekeza kabisa chama.
Kitendo cha Lazaro Nyalandu kujiondoa ccm leo na sababu alizozitoa ni mwanzo tu wa wengi waliokichoka chama na kuchoshwa na mwenendo mbaya wa serikali ya awamu ya tano.
Kuna kila sababu kwa mwenyekiti wa chama hiki ngazi ya kitaifa kukaa chini na wanaccm wenzake ili kutathimini ni wapi wameteleza.
Napata wasiwasi na mwenendo wa chama cha mapinduzi ktk awamu hii ya tano. Hali ndani ya chama hiki bila shakai ni tete sana.
Katibu mkuu wa chama hiki kongwe amejitenga nacho na sasa yupo kimya.
Aliyekuwa katibu wa itikadi na uenezi, ambaye sote tunajua alikitoa chama hicho shimoni hana raha tena ndani ya chama hicho.
Wanachama wengi wakubwa kwenye ushawishi mkubwa mfano, Mwandoaya, Membe, Mkapa, n.k sasa wamekitelekeza kabisa chama.
Kitendo cha Lazaro Nyalandu kujiondoa ccm leo na sababu alizozitoa ni mwanzo tu wa wengi waliokichoka chama na kuchoshwa na mwenendo mbaya wa serikali ya awamu ya tano.
Kuna kila sababu kwa mwenyekiti wa chama hiki ngazi ya kitaifa kukaa chini na wanaccm wenzake ili kutathimini ni wapi wameteleza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wana washwa washwa .. Ila huyu jamaa ana mambo ya kijinga balaaImemdodee mara ngapi? Si unaona mashambulizi kutoka kwa Mwinyi, Warioba, Butiku, Kinana, Makinda na Kikwete. Badala ya kuwasikiliza na kufanyia kazi waliyoyasema yeye akaamua kuwatusi eti wanawashwa washwa!
Sasa kama CCM inadoda c ndiyo UKAWA mfanye sherehe! Mbona mnalilia tena kama vile mnaipenda tena CCM! Hapa sipaelewi! Mhhhhh muda utatuambia!Unapambana kujenga nyumba ya jirani yako inateketea?
Nyie misukule ndio maana hamuwez jiweka hazaraniIvi unaota au uko macho? Kweli kuondoka kwa Nyarandu CCM inakwenda kufa? Napata shaka kama kweli Jamiiforum ina tofauti na Facebook.
Waliyasema haya mapema sana akina prof. Mark Mwandosya. Sasa leo ndiyo tunayaonaUraisi ni Utumishi Sio Utawala pole Magufuri ila sishangai maana hujawah kuwa hata balozi wa Nyumba 10 ndo Maana huishi Kuboronga tu
Ni kawaida kwa hulka ya watanzania, ukiona nyumba ya jirani inaungua huwa tunakusanyika na ndoo zetu kusaidia kuzima motoUnapambana kujenga nyumba ya jirani yako inateketea?
Nadhani kosa lake Ni kusema usichopenda kusikiaIvi unaota au uko macho? Kweli kuondoka kwa Nyarandu CCM inakwenda kufa? Napata shaka kama kweli Jamiiforum ina tofauti na Facebook.
Juu ya niniAliondoka mwenye kadi namba mbili na hadi leo hii CCM ipo juu.
Aende zake.
No comment, nasubiri season finale 2020