Habari zenu wana JF.
Naomba kuwasilisha taarifa rasmi kwenu ikibidi taarifa hizi zimfikie Mh. RAIS JPM pale Ikulu, kuhusu Kamanda huyu wa mkoa wa Arusha, aliyeshindwa kutekeleza majukumu yake na badala yake kuanza kujenga urafiki na wafanyabiashara mabilionea wa mkoa huu mpaka kupelekea uhalifu kuongezeka katika mkoa huu lakini kwa wafanyabiashara wakubwa kwake imekuwa ni jambo la kuzima kesi zao.
Tunaomba Mh JPM uweze kutumbua jipu hili, kwani ameshindwa kutekeleza majukumu yake kwa kujengewa nyumba za kupangisha na wafanyabiashara wa jiji hili.
Nawasilisha