Jpm angekuwa kikwete

Jpm angekuwa kikwete

Joined
Oct 9, 2017
Posts
23
Reaction score
48
Polepole angekuwa selo
Dr slaa angekuwa keko
Dr bashiru angetumbuliwa mlimani asingekuwa katibu mkuu wa ccm
Katambi tunge kuwa nae beach tunasubili ajira
Alfornce mawazo angekuwa yupo hai
Lisu angekuwa anawasaidia watanzania msaada wakisheria
FB_IMG_1538857170517.jpg
 
upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
 
upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Atakumbukwa kwa mabaya mkuu!!! Kwani Mobotu wanamkumbuka Zaire?
 
upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Ataenziwa na familia yenu
 
Atakumbukwa kwa mabaya mkuu!!! Kwani Mobotu wanamkumbuka Zaire?
Mkuu usimfananishe mobutu na jiwe
Mobutu anakumbukwa na wacongo enzi zake miaka ya 70 to the late 80's wakati madini ya congo yalikua na thamani licha ya kujipigia mtonyo pia alileta maendeleo zaire na aliwafanya wazaire kuwa wamoja hakuwabagua isipokua kwenye kikosi cha ulinzi wake
Mobutu alitoa chakula bure vyuo vikuu leo sisi hatuna.alitoa pesa za kujikimu vyuoni bila kubagua
Mobutu alipendwa mno na wazaire hata alipoumwa walimuombea. Kuna picha ngoja niifate google uone wanavomkumbuka wacongo wamebeba picha yake wapo maelfu ya watu
 
Nape angekuwa Na Sumaye Chadema
Kinana angekuwa kastaafu Na Dr Salim wake

Mzee Japhet Mangula angekuwa Kwenye genge lake la kina Sumaye

Dr MwaKyembe angekuwa na Mwandosya wake

Mnyika angekuwa Na Kesi ya Uhaini Kwa kumtukana
 
Naomba kuuliza hivi kenge na mamba wanatoka familia moja
 
upinzani hauna wala haujui jema, leo mnamkumbuka kikwete baada ya kumsimanga sana ila uzuri na magufuli atakuja kukumbukwa na kuenziwa kwa anayofanya
Achana na Bavichaa wa arusha hawa mkuu.
Magufuli is the great!
 
Ndiyo mazee. Mamba baada ya mayai yake kuanguliwa, husubiri kwa muda Fulani watoto wake wapate nguvu ya kujikokota. Kisha huwapandisha mgongoni na kuingia nao majini wakiwa mgongoni pake.
Katika safari hiyo, mtoto wa mamba atakaye fika mwisho wa safari, ndiye atakayekuwa mamba. Yule atakaye huku kwa na maji huyo ataogolea kutafuta nchi kavu na ndiye atakayekuwa kenge.
Kalagha bahho.
Naomba kuuliza hivi kenge na mamba wanatoka familia moja
 
Back
Top Bottom