JPM Ameacha Wami Bridge,SSH katuletea Tozo!

Kama dege ni mradi wa kifisadi alishi dwa nin kuwakamata wahusika?
Kipindi chote cha MAGU nani alifungwa kwa ufisadi....
1.5 trillions iko wapi?
Air Tanzania na Ttcl zilitoa mgao wa faida serikalini....MAGU NI MWONGO KULIKO MARAIS WOTE KWA UJUMLA WAO
 
Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Hasara ilikua kwa wezi na wauzaadawa ya kulevya.
 
Kama dege ni mradi wa kifisadi alishi dwa nin kuwakamata wahusika?
Kipindi chote cha MAGU nani alifungwa kwa ufisadi....
1.5 trillions iko wapi?
Air Tanzania na Ttcl zilitoa mgao wa faida serikalini....MAGU NI MWONGO KULIKO MARAIS WOTE KWA UJUMLA WAO
AliWaachia "IKULU" na Mafaili yake yote!
Aliwaachia "TISS" na watendaji wake wote!
Aliwaachia TAKUKURU na watendaji wake wote!
Aliwaachia POLISI na watendaji wake wote!
Aliwaachia CAG na watendaji wake wote!

Lakini,mpaka leo hii.
Pamoja na kujenga makundi maalumu kumchafua kila uchao.

Lakini hakuna mahali mmeweza kutuonyesha watanzania kwa ushahidi wa NYARAKA na vielelezo vingine vyovyote vile.

Ili kututhibitishia madai yenu.
Kama ilivyowahi kuthibitishwa huko nyuma katika ufisadi wa..... RICHMOND,EPA,MEREMETA,
KAGODA,IPTL,TICS nk.
 
Nyinyi sukuma gang ndio mnaomchafua
 
Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Duuh
 
Asilimia kubwa ya projects za sasa ni initiative za JPM! Tunajua hilo sisi sio mazwazwa ...
 
Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Pesa zoote mkandarasi alilipwa cash na JPM
 
Jk hakuwa na hiyana ndio naana aliruhusu tume huru kuchunguza, jk hakuwa sehemu ya ufisadi,

Kwenye 1.5 trillions jpm hakutaka tume kwan alikuwa fisadi mtu kati, fisadi mkuu.
Noah kwa kila mtanzania za barrick gold hatujui kapokea bei ghani
 
Asilimia kubwa ya projects za sasa ni initiative za JPM! Tunajua hilo sisi sio mazwazwa ...
Hii ni tabia ya ccm. Hata JPM aliendeleza ambayo hakuinitite. Au yeye ndo aliivumbua Tanganyika na yaliyomo?
 
Dah shkamoo njaa.
Iyo mama mama unavyo itaja utafikiri kama unasoma chekechea kumbe ni mtu mzima above fote.
 
Vichekesho kweli kweli, Magu hana sifa kubwa kivile, mwache apumzike kule alipo.Tuache kuchukua muda mrefu kumjadiri mtu huyo,kana kwamba tunalazimisha jambo.
Wako watawala wakujadili hata kama walikwaa kisiki.Mmoja wao ni Mwalimu Nyerere.
Raisi Mwalimu Julius Nyerere alijenga viwanda vikubwa zaidi ya 400,Si hiyo tu kashusha Tazara ,Tazama Pipeline,kaanzisha ATC na kununua Ndege nane kwa mpigo.
Si hayo tu kafuta ujinga kwa kuleta Kisomo cha watu wazima,ndio Raisi wa kwanza kufuta karo ya sekondari hadi vyuo vikuu.
Yapo mengi mno bila kusahau vita ya ukombozi kusini mwa Afrika aliyeweka jina la Tanzania katika ramani ya dunia.
Jemedali Mkuu aliemtwanga Nduli Idi Amin kwa vita ya Kagera.
Labda tungeita Mwalimu Nyerere ndio Reference line au datum,akija mtu chini ya hapo tusipoteze muda wetu.
 
Huwezi elewa hilo sababu umejaza ujinga kichwani.

Hata wafuasi wa MOI hawakutarajia iko siku atakuja kuondoka pale.

CCM hii ndio njia rasmi ya kurudi majumbani kulea wajukuu.
Maneno ya kwenye kanga haya. Unafananisha binadamu walio hai (wakenya) na maiti (wadanganyikw)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…