mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,151 Reaction score 2,698 Jun 15, 2025 #1 Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,184 Reaction score 111,127 Jun 15, 2025 #2 Akili tu...
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,842 Reaction score 15,915 Jun 15, 2025 #3 Kwa Sasa sio mgao Bali wanabadilisha nguzo za miti zilizokuwa zinaoza na kuleta za zege bazo haziathiriwi na mvua Wala wadudu. Sio Kila kitu kulalamika
Kwa Sasa sio mgao Bali wanabadilisha nguzo za miti zilizokuwa zinaoza na kuleta za zege bazo haziathiriwi na mvua Wala wadudu. Sio Kila kitu kulalamika
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,954 Reaction score 7,007 Jun 15, 2025 #4 CEO maharage na January waliwahi kusema mitambo ilikuwa inamuigopa magufuri sabb ya udikiteta wake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,722 Reaction score 196,450 Jun 15, 2025 #5 Kuna sector ubabe muhimu... Cc: Mahondaw
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,900 Jun 15, 2025 #6 mirindimo said: Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ? Click to expand... Mbona K'Njaro umeme umestabilize sana ni miezi kadhaa tupo na umeme asubuhi hadi jioni na usiku wote, ukikatika ni dk 1 na kurudi. Upo wapi?
mirindimo said: Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ? Click to expand... Mbona K'Njaro umeme umestabilize sana ni miezi kadhaa tupo na umeme asubuhi hadi jioni na usiku wote, ukikatika ni dk 1 na kurudi. Upo wapi?
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,061 Reaction score 21,591 Jun 15, 2025 #7 fazili said: Mbona K'Njaro umeme umestabilize sana ni miezi kadhaa tupo na umeme asubuhi hadi jioni na usiku wote, ukikatika ni dk 1 na kurudi. Upo wapi? Click to expand... Utakuwa umeme wa kenya huo
fazili said: Mbona K'Njaro umeme umestabilize sana ni miezi kadhaa tupo na umeme asubuhi hadi jioni na usiku wote, ukikatika ni dk 1 na kurudi. Upo wapi? Click to expand... Utakuwa umeme wa kenya huo
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,800 Reaction score 19,052 Jun 15, 2025 #8 mirindimo said: Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ? Click to expand... Umeme ulimi Unakatika
mirindimo said: Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ? Click to expand... Umeme ulimi Unakatika