Joyce Kiria unahitaji shule

Status
Not open for further replies.
Ndo nan huyo?

ni mhitimu wa mlimani primary school paleeeeee kwa mwalimu mndolwa! alivyosoma mlimani ye akajua ndio keshamaliza na chuo kabisa, i mean degree! aliua ndege wote kwa kuwapaka ***** tu wawashwe! hehehe mbavu zangu mie! joyce u hav completed my afternoon!
 

labda apige ile ya mwaka mmoja moja...form 1&2 afu form 3&4, kisha 5&6 lakini ni kama ana maakili ndani ya miaka mitatu atakuwa kashamaliza sekondari then anajitupa chuo
 
hahahahahaah kwani sauda hajasoma...si kasoma kale kashule ka kiislam kule uwanja wa taifa

Kuachana na elimu kuna vitu flani wamefanana!!!!staki ushahidi shosti we wachunguze hata uvaaji wao na uhusiano wao na dar es salaam mjini!hahhahahah
 
OMG hivi kumbe kaishia std VII?!alikua anafanya nini siku zote asijiendeleze?
Pole yake!
 
Tatizoo tz tunachanganya usanii na professional za watu....!!! Joyce ni muuza sura tu....kama anaweza vipindi vya mahojiano awe wanarrusha live kubababaaaaake.....!!!!
 
Afadhali mimi niliacha kuangalia kipindi chake longtime, anapumba sanaaaa
 
Niliwahi kusikia kuwa Guninita bado anasoma O-Leve perfect vision secondary (i guess yuko form two au three)????!! Ikiwa ni kweli huyu kiria ana umri kumzidi Guninita?

Nimejikuta nacheka tu jamani, anahitaji kusikiliza wakosoaji wake na kuboresha, afute ujinga tu elimu wala haina mwisho, kina Ndyanao Balisidya walipewa PHD zao kitandani jamani akiwa extremely sick
 
Elimu ni bora kuliko mali,bora ukose upate elimu ni kweli anajitahidi sana katika kazi yake sipingi hata kidogo tatizo shule hana shuleni licha ya elimu ya darasani tunayoipata kuna vitu vingine vingi sana kupitia shuleni.aende elimu ya watu wazima apate walau d mbili atakuwa ni miongoni wa waliomaliza form four.
 
Mtu akituliza akili yake, shule ni popote; lkn, kwa bahati mbaya, wengi wetu hatufanyi hivyo, km huyu dada mzungumziwa.
 

Elimu ya Nundu ,Endrew Chenge imetusaidia nini ? Acha habari za majungu.
 
mkonowapaka na mim nakuunga mkono kwa kusema shataap!
nadhani alitaka nguo za ndani zitajwe ili watu wajue ni nguo gani hasa zisizotakiwa kufuliwa na housegirl maana kuna watu wengine vesti ya baba ni nguo ya ndani kwa wengine sio kuna wengine nguo za kulalia wanaziona kama nguo za ndani wengine la wengine brazia wanaiona nguo ya kawaida wengine ya ndani,ndo maana alitaka kujua wageni wake kwao nguo za ndani ni zipi
 
Last edited by a moderator:

Binti "msomi" ni Career si Carrier. Wa wapi weye? Kwani nawe umesoma Mlimani Primary?
 
Kwani ndio nani huyo tusaidie wengne hatumjui.
 
Kwan kuingia clac ndo kuwa mstarab. Mkulo kala hela zetu hamzungumz mnaona hayo tu,
 
Kwan kuingia clac ndo kuwa mstarab. Mkulo kala hela zetu hamzungumz mnaona hayo tu,

Nawashanga! Hao wenyewe wanaomsema wanaonekana weupe flani hivi, amewaambia kuwa hataki kusoma, au unajuaje kama yuko kwenye mchakato.
Badala ya kuja na constructive criticism mna tramp ili self esteem yake ishuke, not everyone was provided the same oportunity as you na you dont know how many girl ambao ni STD 7 look up to her wanahitaji support sio kuwa discourage.
You are making this World a worse place to live by flashing your so called "education" here instead of making a better use of it.
 
Bongo bana! eti na huyu dada ana host kipindi kwenye national Tv! upstair hamna kitu kabisa! hana mtiririko wa maswali hana target! still eti anajifananisha na Oprah!!.. Oprah myAss!!

Huna luga nzuri
 
Criously,she is xo uneducated,yn ukimuangalia kweny interviews zake when she tokx,anafany vidole kama anamsuta!argggh!xo fuc*** boring
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…