Mkuu nobody is perfect, mazuri yaigwe mabaya yake tunamuachia maana kila mtu ana upande wake wa piliHuyu dada kwenye upambanaji anajitahidi,ila uswahili ni mwingi..sio mfano wa kuigwa
Kweli mkuu,ndomana nikasema kwenye upambanaji anajitahidi sanaMkuu nobody is perfect, mazuri yaigwe mabaya yake tunamuachia maana kila mtu ana upande wake wa pili
pumbafu kabisa hi mwanamke, huwezi iga ujinga wake na vile ukikaa karibu yake utaiga na ujinga wakeKama ni mpambanaji angebeba familia mwenyewe atuoneshe.
Mbona alikua anapiga kelele mitandaoni mume kakimbia hela ya matumizi hatoi..mambo ya familia anashindwa kuyamaliza nyumbani anahamia mtandaoni niige nini kutoka kwake
We pia ndo mwanzisha thredi.asante sana ubarikiwe sana sana....
Kivip?Kama zamani kila mtu angemsifia.
Lakini sifa zake ameshaziporomosha mwenyewe.