Things Fall Apart
Senior Member
- Jun 26, 2012
- 178
- 146
Hii imetokea kwa Joyce Kiria Super Woman, Mamaaa wa Wanawake Live wa EATV, leo uvumilivu umemshinda akaamua ku-screen shot msg za kwenye Twitter na kuzibandika Fb na kuwachamba wanawake wanaocheka umbo lake hasa miguu yake kwamba ni "ngwara" zisizofaa kuvaa kimini... Hatari sana.
Cc Nifah
Diva Beyonce Madame B
===============Tv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.
Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)
Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.
Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
Mkuu habari za siku nyingi na pole na misukosuko ya maisha Kamanda Henry Kilewo.
Yangu leo ninayo machache sana ya kukuusia mdogo wangu, si kwamba naingilia maisha yako bali nakutabanaisha hulka tulizokuwa nazo watz wa sasa.
Kamanda Kilewo waswahili wanasema kosea kujenga nyumba lkn usikosee kuoa mke. Kamanda kwa heshima kubwa nakushauri ufanye review ya ndoa yako na Joyce Kiria dada asiyethamini mwili wake.
Post za Joyce Kiria katika fb page yake zinanipa conclusion ya kwamba she is not your type... Kamanda Kilewo pole sana mana wazungu wanasema Charity begins at home lkn kwa bahati mbaya nyumbani kwako ni tofauti.
Mwisho nakushauri Kiongozi mzuri ni yule anayeweza kuiongoza familia yake kwa tamaduni za jamii husika.
Ukishindwa Kumdhibiti mkeo Mpoto alisema Kuanza upya si ujinga.
Wasaalam
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti <https://www.facebook.com/JoyceKiriaTZ> ya mtu anayejiita JOYCE KIRIA kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake...
.
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti <https://www.facebook.com/JoyceKiriaTZ> ya mtu anayejiita JOYCE KIRIA kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.
Ikiwezekana Clouds FM - Power breakfast (Babra Hassan, PJ na Gerald Hando) tusaidieni kumtafuta huyu mwanamama ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.
Ikiwezekana Clouds FM - Power breakfast (Babra Hassan, PJ na Gerald Hando) tusaidieni kumtafuta huyu mwanamama.
Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
Kumbuka wendawazimu wameongezeka kwenye hii serikali ya awamu ya 4!
mkuu kwenye hiyo page yake si ameweka namba zake za simu?
Kwanini baada ya kuona posti zake zinaanza kubadilika usimpigie na kumwuliza naamini ungepata majibu mazuri na kuondoa wasiwasi ulikuwa nao kuliko ulivyo kuja hapa bila kuhakikisha hilo jambo maana hapa kila mtu anaulewa wake ila siwezi kukulaumu maana bado sijafamu ulichokuwa unafikiria mpka ukaamua kuanzisha uzi ukizingatia sikuhizi teknolojia imekua kwa kiasi kikubwa sana.
Mbona joyce mwenyewe halalamiki?
Akaunti ya huyo dada ipo hacked au kuna mtu amefungua akaunti kwa jina la huyo dada. Tabia mbaya sana hii
Akaunti ya huyo dada ipo hacked au kuna mtu amefungua akaunti kwa jina la huyo dada. Tabia mbaya sana hii