Joyce Kiria Got a Prostitute Attitude

Joyce Kiria Got a Prostitute Attitude

Hahaha hiyo paragraph ya mwisho dah! !!!

Ila bandiko lako limebeba hoja nzito -atakae jaribu kuzi jibu itakuwa ndiye Joyce kiria mwenyewe
Ila mim nashangaa hii mindset ya kuwa mwanaume akiwa ana date, kuwa faragha na mwanamke ni kwamba mwanaume anafaiiidiii, kana kwamba wao hawahitaji hizi mishe.

Asilimia kubwa wenye mindset hizi ni whorez, tu. Wanaopenda miteremko, ambao wanafanya p**sy kama ndo mtaji. Tu assume yafuatayo sasa. Jamaaa asinge kuomba namba na kukutokea, ingelikuwaje??

1. Usingeweka vocha na kuunga kifurushi?, kwani ulinunua simu, kuhongwa simu ili tu, akitokea mtu, ndio akuhudumia vocha ndio uwasiliane naye? Huna michongo ya muhim na simu?.

2. Usingelipia kodi ya chumba, maan yake ungelala nje?

3. Vipi, saluni na mavazi, ungeona sasa hapa niishi kama chizi, niwe rafu. Utasikia usione vyaelea.

N. K

Utasikia usione vyaelea, wenzio wanahudumia, kwa hiyo ulitoa namba ili wala papuchi waweee weengi mtaji uongezeke, HUU NI UCHANGUDOA BUBU.

Hata ule, unywe, kula na kusaza, muda wote upo na mashoga zako, tour, mnapesa, kama hauna uhusiano, utataka tu mtu mtaye kuwa faragha.

Jua likizama, mkipotezewa, mnaenda kulia, kuomba, na mifungo juuuu.
 
Kamanda Kikanga naye ndiyo michezo yake shekhe wakati yuko radio 1 aliiopoaga jimama fulani ambalo that time lilikuwa na mabinti wenye umri wa Kikanga.
Yule mama alikuwa vyema kwani alikuwa mtu mkubwa UN Liberia jamaa akalichuna lili lile maza la watu baada ya mambo kukaa kwenye mstari akampa talaka sugar mummy,kwa bidada kapiga mulemule kwani kipindi kile wote walikuwa wafanyakazi wa aipipi mediya.
Lol ''kumbe karma ilikuwa ina muadhibu
 
Lol ''kumbe karma ilikuwa ina muadhibu
[emoji38][emoji38]waarabu wa pemba hao wanajuana longtime kitambo michezo yao hakuna wa kumsema mwenzake hapo wote wanatumia vikojoleo vyao kama plan B ya kuiishi mujini!
 
Hahaha
[emoji38][emoji38]waarabu wa pemba hao wanajuana longtime kitambo michezo yao hakuna wa kumsema mwenzake hapo wote wanatumia vikojoleo vyao kama plan B ya kuiishi mujini!
 
If i fvck u for money am.not fvcking u am fvcking my own money. What is gud here is my money and not you.[/QUOTE]Hii quote bora ya wiki wangu[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mambo yake muachieni mwenyewe...

Ana mengi sana rohoni na kichwani yanayomtatiza...


Cc: mahondaw
 
Kamanda Kikanga naye ndiyo michezo yake shekhe wakati yuko radio 1 aliiopoaga jimama fulani ambalo that time lilikuwa na mabinti wenye umri wa Kikanga.
Yule mama alikuwa vyema kwani alikuwa mtu mkubwa UN Liberia jamaa akalichuna lili lile maza la watu baada ya mambo kukaa kwenye mstari akampa talaka sugar mummy,kwa bidada kapiga mulemule kwani kipindi kile wote walikuwa wafanyakazi wa aipipi mediya.
Kumbe Kamanda alikuwa anafanya kazi AIPIPI radio moko? Miaka gani na kipindi gani mkuu ilinipita hii.
 
Kamanda alitekwa kizembe sana.
Ukuiona Mwanamme kaachia manyanga kwa Demu haifai nawe kuingia kichwa kichwa,DJ Nelly alienda Mwendo wa MATEKA MIKONO JUU akasalimu amri,sasa sijui kamanda ilikuwaje naye akajump infront of the band wagon.
 
Kumbe Kamanda alikuwa anafanya kazi AIPIPI radio moko? Miaka gani na kipindi gani mkuu ilinipita hii.
Ahaaa kaka how old are you[emoji38][emoji38]?
Miaka ya tisini mwishoni alitesa pale hasa kipindi cha michezo saa moja na nusu na baadae kuhamiia efm lkn kaanzia aipipi media
 
Ahaaa kaka how old are you[emoji38][emoji38]?
Miaka ya tisini mwishoni alitesa pale hasa kipindi cha michezo saa moja na nusu na baadae kuhamiia efm lkn kaanzia aipipi media
Mnyalu inaonekana tunachanganya Madesa hapa,Efm si imeanzishwa juzi tu Kamanda sidhani kama ashawahi kutangaza Efm wala Radio Moko,Mie kamanda nayemzungumzia ni H.K mume wa zamani wa Joyce Kiria,unayemzungumzia wewe naona kama ni Kitenge.
 
Mm namzungumzia kikangaa shekhe labda hakuninukuu vizuri kaka ...
Mnyalu inaonekana tunachanganya Madesa hapa,Efm si imeanzishwa juzi tu Kamanda sidhani kama ashawahi kutangaza Efm wala Radio Moko,Mie kamanda nayemzungumzia ni H.K mume wa zamani wa Joyce Kiria,unayemzungumzia wewe naona kama ni Kitenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom