#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza
- Ufugaji, kilimo na biashara.
- Utengenezaji wa sabuni ya mche.
- Utengenezaji wa sabuni ya maji ya kuogea, kufulia na chooni
- UTENGENEZAJI WA BATIKI
DARASA hilo litatolewa na walimu wenye ujuzi wa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. WOTE MNAKARIBISHA SANA.
DARASA ilo litafanyika Dar-es-salaam Tegeta, Nyuki {ukitokea sehemu yoyote ya Dar-es-salaam panda magari yanayoenda Tegeta, Nyuki kisha shuka mwisho wa gari. Harafu utapiga simu 0783137777 ili upewe maelekezo ya kufika.
KWA MAWASILIANO PIGA 0783137777