Joyce Banda Vs Mizengo Pinda

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,755
Reaction score
7,270
wamekwepana kukaa pamoja? alafu kama bi joyce ana wasiwasi hivi kwa sababu badala ya kumuangalia mtoa mada yeye anamuangalia mpiga picha ambaye ni mtanzania. wachambuzi mnasemaje?
 
hapo mama anatazama saa kila mara kuangalia hotuba itaisha muda gani
 
haangalii saa yule
 
yule wanyuma kabisa nae anamuangali mpiga picha atakuwa na yeye mmalawi maana yeye nae amekodoa macho hatari,sijui mlinzi wake
 
Mzee wangu Vasco kaiacha hiyo trip? ... nampa kudos!!
 
Duuh! PM wetu bonge la handsome boy! Hebu cheki domo lake, sijui akilia anaonekanaje, hapo kala pozi tu.
 
Pinda bwana shavu lote la UPM hatakati tuu!
Sijui angebaki kuwa mkulima kule Namanyere ingekuwaje!
 
Pinda bwana shavu lote la UPM hatakati tuu!
Sijui angebaki kuwa mkulima kule Namanyere ingekuwaje!

teh teh teh teh hii kali atiii na shavu lote la UPM lkn bado hatakat............!!!
 
Kazi kweli kweli ukute wenyewe wakikutana wanasema never mind this is politiks!
 
Nyie mnaongea tu ivo, mama tunu amekufa ameoza apo!!!
 
Pinda kila siku vijijini kutembelea Halmashauri mara misungwi mara mbamba bay, mwacheni Hat bit wa Tunu nae asuuze mijicho ugaibuni mara moja moja!
 
Labda alikuwa kwenye safari nyingine, hebu chunguza kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…