Wadau Amani iwe juu yenu,
mama Banda kagoma kumkabidhi ofisi rasmi rais mpya wa Malawi prof Mutharika . Amekimbilia kwako nkata bay kwenda mapumziko kwa mujibu a BBC Swahili service.prof Mutharika hata hivyo amesema kuwa hana kinyongo nae na anamkaribisha wakae pamoja ili waiendeleze Malawi.