Journalism

Journalism

Gef

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
507
Reaction score
459
Hellow wadau naomba kujua vyuo vizir vya Uandishi wa habari kwa dar es salaam na ada zake zipoje kwa ngazi ya Certificate nina mdgo angu anataka kuanza kozi hiyo please msaada wenu tafadhali.Ahsanteni
 
Ana kipaji sana ndgu
Mh hii Kozi ina mauzauza sana hasa kwenye ajira kama una mkono mrefu anza kutengeneza mazingira mapema upate sehemu ya yeye kufanya kazi

DSJ kiko sawa kwenye hayo mambo ila usije kushangaa kama Ajira inakuwa kilio kwake kwa siku za mbeleni.

Kipaji chake kipo kwenye masuala gani burudani, michezo, udaku au Siasa?
 
Ahsante sana Burudan michez pia siasa DSJ kipo maeneo gan please
 
Tuna simu ambazo zina uwezo wa kukuonesha sehemu ambayo unataka a kwenda "Google Map" ili kuepuka usumbufu wa kuuliza uliza vitu uwe unatumia Google Map kusoma uelekeo wa eneo unalotaka kujua.

Mtu wa kuuliza uliza sana mara nyingi anakuwa mvivu wa kuhangaika.
IMG_20180817_143820.jpeg
 
Poa kk asante kwa majibu mazur
 
Nenda Google Map u-search DSj Dar es Salaam utakiona kilipo.
Sawa baba nimekiona kipo Morogoro road kwa mbele kama mita 100 iv umenifumbua macho mkuu shukran mdgo ang akifanikiwa kuna soda yako sawa
 
Sawa baba nimekiona kipo Morogoro road kwa mbele kama mita 100 iv umenifumbua macho mkuu shukran mdgo ang akifanikiwa kuna soda yako sawa
Sawa hapo sawa umeona sasa umejua kilipo kuliko kuuliza maswali.

Ajira za kwenye Tasnia hii ni Kamari na kama una mtu mkubwa kwenye Media utapata ila kwa sasa hali sio kabisa.
 
Back
Top Bottom