nawe ubarikiwe mkuu...nashukuru sana kwa ushauri!
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Kunywa juisi ya ukwaju joto litashuka mwilini mwakoHabari waungwana
Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu
ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?
Ahsanteni!
Kunywa juisi ya ukwaju joto litashuka mwilini mwakoView attachment 360484
Bibie sijambo nilikuwa nipo busy kuwatibu Wagonjwa wa Ukimwi na wagonjwa wa Saratani sasa nimerudi tena uwanjani. Asante kwa kunipongeza Ramadhani na wewe pia. Ukwaju hata wa huko nyumbani mweusi unatosha sio mbaya.Long time daktari. Happy ramadhan!
Sasa huu ukwaju wako wa kizungu? Manake juisi ya ukwaju nyeusiii hadi nataka kuiosha na sabuni kwanza,khaa.
unaugonjwa wa KASUKAHabari waungwana
Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu
ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?
Ahsanteni!
Pole sana, ila thread zako mtihani kidogo juzi juzi ulisema unatafuta kazi yoyote ya kufanya, jana unakasema unatafuta jibaba la kukulea, leo unasema unasumbuliwa na joto.Habari waungwana
Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu
ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?
Ahsanteni!
Habari waungwana
Shida ni kwamba, Tangu jana joto la mwili limepanda sana
ilihali sijisikii vibaya, niko sawa tu
ila linaniletea hali ya uchovu sana
kila wakati..
Je nini tatizo/nini kinasababisha
na nifanye nini hali hii iishe...?
Ahsanteni!
asante kwa ushauriKunywa juisi ya ukwaju joto litashuka mwilini mwakoView attachment 360484
asante kwa ushauriNdugu, homa kupanda unaweza kuwa kiashiria kuwa kuna tatizo kwenye mwili. Inaweza kuwa maradhi, ama mwili umechoka tu kupita kiasi. Oga, kula ushibe, lala kwa muda Kama 6 hrs. Ukiamka bado na homa uende hospitali. Pole sana
asante sana kwa ushauri wakoBibie sijambo nilikuwa nipo busy kuwatibu Wagonjwa wa Ukimwi na wagonjwa wa Saratani sasa nimerudi tena uwanjani. Asante kwa kunipongeza Ramadhani na wewe pia. Ukwaju hata wa huko nyumbani mweusi unatosha sio mbaya.
FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.
- Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
- Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
- Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
- Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
- Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
- Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
- Husaidia kurahisisha choo (laxative)
- Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
- Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
- Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)
NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!
o
Ukwaju wa mwendokasi huo.Long time daktari. Happy ramadhan!
Sasa huu ukwaju wako wa kizungu? Manake juisi ya ukwaju nyeusiii hadi nataka kuiosha na sabuni kwanza,khaa.