Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Joto la asubuhiJumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7
Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?
Tbc taifa "damka na TBC" ndo mpango mzima.E fm Mpango mzima
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7
Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?
obvious power breakfast itapata wasikilizaji wengi coz clouds fm ina coverage kubwa ukilinganisha na efm ambayo inasikika Dar tu
mkuu hata ukibisha vipi lakini ukweli utabaki tu pale pale, sijakataa hayo unayosema lakini asilimia kubwa ya watanzania bado wasikiliza redio hao wa smart sio wengi ukilinganisha na watanzania wengi wanaotumia redio za kawaidaSiku izi wanaosikilizia radio wakiwa majumbani ni wazee tu,wengi wetu tunatumia simu,smartphone na teknolojia imeturahishia mambo yaaan hata radio ikiwa ina coverage ya mbagala tuu ila dunia nzima tutaisikiliza online..kitu cha tunein radio mkuu.
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7
Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?
Tbc taifa "damka na TBC" ndo mpango mzima.