joto hasara, nawezaje kuipata kwa simu?

joto hasara, nawezaje kuipata kwa simu?

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
wataalam wa mambo haya naomba msaada niweze kudownload hii video kwa simu yangu nokia e71, hii hap ni link ya hiyo video hiyo nifanyeje wadau hapa
 
click hiyo pic ukadownload vid yako,chagua format unayoipenda kwenye upande wa kulia wa page
 
Nitapataje video nyingine kama ya ommy dimpoz na vanessa - me n you
 
Back
Top Bottom