Joti anapoelekea watu watalazimika kumu "unfollow"

mimi hakuna ila watoto wanaoangalia
mnakumbuka yule sharo- RIP watoto walianza kuwa kama sharo!! sasa jot f*** inalazimika kubadilisha channel whya BASATA watumbuliwe maana kuna chura snura huko mbaya zaidi
 
Jamaa ubunifu umeisha saivi hana jinsi kufanya ivyo!kuishi mjini inataka mipango.
Angeungana na mkandamizaji wajikite kwy kilimo kinalipa
 
Joti na wenzake misanii ya bongo movie na bongo flava ni mijingamijinga tu. Walishiriki Sana kwenye kampeni za magamba na kukiweka chama cha mafisadi madarakani. Ona sasa tunavyoisoma namba
 
Mh! Kwa tunakoelekea tutaishia kung'oa vichaka ili mbwa asikojoe ovyo badala ya kumfunza.
Ni kama kuondoa pipi dukani ili mtoto asililie, au kuondoa hata vitanda ili asikojoe kitandani!
Hebu wakati mwingine tutulize akili zetu kidogo.

duh nimeupenda uwasilishaji wako mkuu
 
mia nshangaa basata hawajampiga STOP!! anaharibu watoto wa kiume kutaka kuwa wanawake. yeye kama ka celebrity ni role model!!! sasa anafundusha nini jamii? BASATA PIGA STOP kituko hicho
Acheni unafiki wenu huko, asojua kwamba joti ni comedian nani hiyo ndo staili kaona yeye ya kumuingizia kipato na watanzania tulio wengi tunaipenda kama ww hutaki fuatilia wengine sio lazima joti
 
Mkuu hata mboga zipo aina nyingi mchicha sukuma spinach nyama maharage so ukiona ana kukera we cheki usawa mwingine mbona wapo wengi tu humu humu Tanzania
 
cross dressing is hella suspect my nigga,mi siangalii muvi ama comedy yoyote ambayo mwanaume anaekti kuwa mwanamke.Mbona wengine wanachekesha vizuri tu bila hayo makolombwezo.huyu analeta komedy za kizamani
 
Hii style juzi tu tulijadili kwa ofisi. Dume kujigeuza jikeshupa lazima mzizi wa aibu ukatike kwanza ndo uweze kufanya hayo.
 
Back
Top Bottom