incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,290
Kivip mkuu humpat Mkali wa malav dav songs na Saut ya kubembeleza Totoz Josleenkila la heri,naona nimeingia cha kike
Mmmh mkuu aliimba wimbo unaitwa NIITE BASI[emoji81] [emoji81]Alikuwa bendi gani?
No bro ni moja ya ubunifu pia! kwan namwelewa sana josleen na naamin nikifanya nae kaz watanzania wataweza kuipokea vzur kwani naamin ni msanii ambae anaweza na alikuwa anajua anachokifanyaUnataka kumrudisha kwenye game??..We ushatoka tayari?
Mi nimependa threads zako hazihusu zile habari za watu wawili kila siku kwenye hilo hongera na naona hata hapa umekwepa kuwatajataja safi sana. Ila umefeli tu uliposema Josleen ni legendary,lakini hebu mcheki Makamua yeye anaweza kukupa mawasiliano makamua mkalikwanza (@makamua_sugarcane) • Instagram photos and videosWakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao Collaboration ili kuonesha Shukrani na kujaribu kuwa enzi na kuonesha Mchango wao katika Tasnia ya huu Mziki wetu wa Kitanzania Siyo kila msanii chipukiz utaskia anataka Afanye collabo na HARMONIZE, MAVOCO,RAYVANY,BARACKA DA PRINCE, Etc, Jaman mimi napenda Yeyote Mwenye namba ya JOSLEENE, Aniwekee hapa kwani ni Msanii ambae kisema kweli nilikuwa namkubali na Bado ninao uhitaji wa Kumrudisha kwenye game Kwani naamin Bado brother anaweza kurudi kwenye game na kufanya vizuli vle vle!
Heshima kwenu Wote ambao Mnautambua Mchango Wa Josleene katika Game la Bongo flevar! Pia ningependa tujulishane hapo alipo josleeni anafanya nini?????
Sawa mkuu akipendacho mtu moyo jamaa nilitokea kumwelewa kuliko msanii yeyote yulee kwa sauti yake na nyimbo zake ni moja ya nymbo ambazo nikiwa peke yangu lazma niziskilize na ninaamin ipo sku ntafanikiwa kufanya nae kazi kwan bado naamin akipata pande atasimama vzur vle vle!Mi nimependa threads zako hazihusu zile habari za watu wawili kila siku kwenye hilo hongera na naona hata hapa umekwepa kuwatajataja safi sana. Ila umefeli tu uliposema Josleen ni legendary,lakini hebu mcheki Makamua yeye anaweza kukupa mawasiliano makamua mkalikwanza (@makamua_sugarcane) • Instagram photos and videos
Lakini si umeona hapo nimekuelekeza uingie kwa Makamua.Sawa mkuu akipendacho mtu moyo jamaa nilitokea kumwelewa kuliko msanii yeyote yulee kwa sauti yake na nyimbo zake ni moja ya nymbo ambazo nikiwa peke yangu lazma niziskilize na ninaamin ipo sku ntafanikiwa kufanya nae kazi kwan bado naamin akipata pande atasimama vzur vle vle!
Nimekupata mkuu ahsante sanaa mwenyewe nakubal sana thread zako mzaziii[emoji2]Lakini si umeona hapo nimekuelekeza uingie kwa Makamua.
Mkuu una uhakikayupo sokoni tandale anapokea kodi ya choo kwa kila anaeingia