joshua nassari afunguka

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
akihojiwa baada ya mechi ya yanga na Jkt oljoro,bw joshua nassari(MB) ametamka wazi kuwa yeye ni mshabiki wa timu ya simba.

Source:SUNRISE RADIO
 
akihojiwa baada ya mechi ya yanga na Jkt oljoro,bw joshua nassari(MB) ametamka wazi kuwa yeye ni mshabiki wa timu ya simba.

Source:SUNRISE RADIO

JB tuachane na usimba na uyanga kwenye mambo ya viongozi wetu hayana maana sana.

Kwa mfano wewe JB ni Yanga damu, unaweza kujikuta humpendi Nassari kwa kuwa ni Simba.

Hata akina JK wanajulikana ni Yanga damu lakini hawajionyeshi.
 
akihojiwa baada ya mechi ya yanga na Jkt oljoro,bw joshua nassari(MB) ametamka wazi kuwa yeye ni mshabiki wa timu ya simba.

Source:SUNRISE RADIO

kwa hiyo? watu bwana,yaani hyo nayo ni thread
 
sioni habari hapa!! Yaani wewe pamoja na kuwa kwenye jukwaa la GT umeona joshua nassari kuwa mwana simba ni uzi wa kushusha humu GT!!
 
mbona naona mnapata jazba sana?
Mimi ni mwanayanga damdam lakini siikubali ccm.
 
sioni habari hapa!! Yaani wewe pamoja na kuwa kwenye jukwaa la GT umeona joshua nassari kuwa mwana simba ni uzi wa kushusha humu GT!!

we unadhani kwa nini hii radio ilimuuliza hili swali?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom