Joshua Nassari afanya maajabu Jimboni kwake

Joshua Nassari afanya maajabu Jimboni kwake

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Kamanda wewe ni mfano wa kuigwa
 

Attachments

  • 1962636_1470893633184551_683941587921384594_n.jpg
    1962636_1470893633184551_683941587921384594_n.jpg
    135.6 KB · Views: 641
  • 10615604_1470893853184529_462424520942065072_n.jpg
    10615604_1470893853184529_462424520942065072_n.jpg
    139.2 KB · Views: 578
  • 10649653_1470893816517866_3480093739266549918_n.jpg
    10649653_1470893816517866_3480093739266549918_n.jpg
    127.6 KB · Views: 538
  • 1185976_1470893776517870_7495228792351650014_n.jpg
    1185976_1470893776517870_7495228792351650014_n.jpg
    63.2 KB · Views: 515
  • 10371408_1470893749851206_1155062598458986564_n.jpg
    10371408_1470893749851206_1155062598458986564_n.jpg
    73.2 KB · Views: 509
  • 10383478_1470893659851215_8869564249309002285_n.jpg
    10383478_1470893659851215_8869564249309002285_n.jpg
    117.5 KB · Views: 496
  • 10449899_1470893676517880_1385198706602437_n.jpg
    10449899_1470893676517880_1385198706602437_n.jpg
    80.3 KB · Views: 516
Sijaona maajabui,nisaidie kufafanua.
 
Yaani kuvaa mashuka ya kulalia mchana ndio maajabu? teh teh teh
 
Joshua ni mmeru hayo mavazi amevaa kwa ajili ya kutafuta kick tu.. Nassary ana akili za kitoto sana
 
Aiseeee nimeipenda hiyo, sema ungejazia nyama kwenye maelezo ingekuwa poa sana

BACK TANGANYIKA
 
Huyu dogo Chadema tumelamba Garasa,naona hajielewi yupoyupo tu,aliingizwa kwa kishindo ila tumeambulia disappointment nasikia kijana nowdays kajenga jeuri chafu hata waliomsaidia kuingia anawaona mavi,Hata Mchango wake kwenye chama hauonekani nna mashaka sana na hili jimbo 2015 sijui!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
huyu dogo chadema tumelamba garasa,naona hajielewi yupoyupo tu,aliingizwa kwa kishindo ila tumeambulia disappointment nasikia kijana nowdays kajenga jeuri chafu hata waliomsaidia kuingia anawaona mavi,hata mchango wake kwenye chama hauonekani nna mashaka sana na hili jimbo 2015 sijui!

Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums

sijakuelewa? Wewe ni lb7, au mwana m4c?
 
Huyu dogo Chadema tumelamba Garasa,naona hajielewi yupoyupo tu,aliingizwa kwa kishindo ila tumeambulia disappointment nasikia kijana nowdays kajenga jeuri chafu hata waliomsaidia kuingia anawaona mavi,Hata Mchango wake kwenye chama hauonekani nna mashaka sana na hili jimbo 2015 sijui!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kabla sijafungua kitabu changu cha "Mathayo" hebu thibitisha Uchadema wako hapa.dani..

BACK TANGANYIKA
 
Kafanya maajabu gani?

ww kipofu utaona wakati huoni wabunge wa wote wa CHADEMA ni wazalendo na wanapenda kujumuika na wanachi wao siyo hawa wa ccm wanakaa dar mpaka jana kwenye ziara ya kinana wanazomewa hii ishara mbaya kwa ccm ..
 
Sijaona maajabui,nisaidie kufafanua.

Yaani kuvaa mashuka ya kulalia mchana ndio maajabu? teh teh teh

Joshua ni mmeru hayo mavazi amevaa kwa ajili ya kutafuta kick tu.. Nassary ana akili za kitoto sana

Kafanya maajabu gani?

Si rahisi muone aliyofanya. Ingekuwa ni magamba mngenunua editors wote ili mseme. Kijana ni.makini. Mmeona shule hiyo? Wale wa kwenu wanakaa chini.
 
Back
Top Bottom