Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,414
- 18,438
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Joshua Nassari leo Jumatatu, Juni 30, 2025 akiwa na fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).