Josho la kisasa au kisiasa??!!

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
728
Kweli watanzania tunachezewa akili kweli......hili ndilo josho la kisasa???!! Mie nafikiri ni josho la kisiasa. Angalia mwenyewe.

 
Wezi hao, hilo ni bafu la ng'ombe
 
wezi hao, hilo ni bafu la ng'ombe

ama kweli chuki binafsi ni mbaya sana,hivi kweli tumefikia hatua ya kuwadhalilisha viongozi wetu kwa kiasi hiki.hivi wewe ulikwisha jitoa japo kufagia barabara t.jamani ebu tuwe wastaarabu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…