Joseph Mbilinyi Sugu: Tumetoka kwenye Maombi, tumeingia kwenye Nyungu. Rais arudi Ikulu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895

Attachments

  • AUD-20200430-WA0285.m4a
    4.6 MB · Views: 1
2.jpg
 
Watu wanatoa mawazo yao kuhusu hili janga la Corona kila siku lakini wahusika ni kama vile wameziba masikio, sijui wanadhani wanamkomoa nani? yaani hamuwezi kuchukua hata wazo moja la wapinzani?!

Kuwa na madaraka haina maana wewe ni "special" zaidi ya unaowaongoza, kujishusha kutaongeza ladha ya madaraka uliyonayo, na hamasa kwa unaowaongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu acha kutapa tapa

Hata kama unajua utapoteza jimbo usiwe na hasira na Rais wetu
 
Back
Top Bottom