sugu awe mpole maana awakawii wale mawakala wa ccm waitwao wakurugenzi kuzuia watu wasijiandikishe kisa wanashabikia upinzani. kama ilivyotokea huko kiwira.
mbeya ndo home hatujamchoka sugu ikumbukwe mbeya ilikua jiji kisiasaila sasa ni jiji kweli chini ya usimamizi wa sugu wapi mpesya wapi bara bara za rami kila kona ya mbeya sugu sugu suuuuuu