William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Michango ya sugu bungeni ni makini sana zaidi ya madokta na maprofesa kama Maghembe au Mulugo na migao ya umeme kwenye ujenzi wa taifa
Mf. SWALA LA HATI MILIKI NA WIZI WA KAZI ZA WASANII aligombana sana na Joseph Kusaga adi wazir kuwapatanisha na kufikia muhafaka na serikali wa tra kusimamia uuzwaji na usambazaji wa kazi hizo.
2. Akiwa waziri kivuri bungeni Alilalamika swala la wasanii wakubwa kama Joe Tomas, Bee man 50cent kufanya shoo bongo na kulipwa ma bilioni bila serikali kuwakata kodi huku walalahoi tunakatwa kodi kwenye mishahara ya lakimbili
3. Amelalama uovu wa polisi wanavyoua kilasiku raia
4. SUGU MOTOCHINI, WANAKUITA SUGU NA WANACHOTAKA akiwapa ukweli wanaomkwamisha na kuwekea chuki bila sababu
sugu kaanza kutetea wanyonge toka kwenye mziki tafuta vibao vyake kabla ajaanza siasa kama
1. HAKI aliifanya na marehemu Jastini Kalikawe
2. KURA YANGU alifanya na Juma nature na Dr levy
3. MIKONONI MWA POLISI aliifanya mwaka 2000 na 1996 alitoa ngoma nimesimama akipinga uovu wa police. Lakini Mwangosi akafa mikononi mwa polisi 2012
4. DAYWAKA 1998 akizungumzia tatizo la ajira
nyimbo zote juu ntaziweka ivi punde
huyo ndio Mr II AU tafuta nyimbo hizo mpaka mbagala kwenye kopyuta za kubani upate ujumbe na harakati zake katika jamii