Jose Mtambo hali yake vipi?

Jose Mtambo hali yake vipi?

"Nipe basi ata namba yako hataki, ni haidi utakuja tenaa weee bonge la demu kila sehemu/hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee".

juzi tu nimetoka kudownload nyimbo zake zote, nazisikiliza sanaa iwe popote.

Mungu ambariki Jose Kigambonino.
Mkuu nikumbushe jina la hii ngoma niitafute
 
Jose mtambo from kigambo Nino namkubal sana, Kuna ngoma moja alifanya na marehem pancho duuuh ni bakaaaaa
 
Aisee Mimi nipo poa jamani situmii gongo ya aina yoyote kinachotokea ni kwamba nimejiweka kando na masuala ya muziki....
 
Mwenzie Z anto akipanda panton pale anashusha kofia [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Z anto si anasemaga yeye ni tajiri anamiliki ma frame ya biashara sijui nini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mambo vipi?

Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake.

Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.

Hali imezidi kuwa mbaya ,jose mtambo amechakaa kwa ulevi ,inahitajika msaada wa haraka sana.

cc😛ili Masana.
 
Mwaka 2013 alichanwa na kimbuga aache gongo,mataputapu na viroba naona Bado.

Kigambonino rehab zipo kibao tongwe wampeleke!
 
Nimeona wasanii wa Bongo Fleva wamempatia nguo na Bima ya Afya na Dili la Kupiga kwenye Event ya Miaka 10.

Babu Tale mpelekeni kwa Pili Masana Rehab maana hata ulimpokuwa mnamuhoji anaonekana amelewa means damu ishachafuka na pombe muda yote anaonekana yupo bwiii hata kama hajalewa ,ongea yake nayo ni ya FULL mtu ambaye kalewa.
 
Back
Top Bottom