Dua la kuku........muombe Mungu azidi kukupa baraka kwenye maisha yako, kuhangaika na mambo mengine ni kujitia maumivu kwa makusudi.
Trust me, kuna watu wanakula hata hapa duniani na mbinguni pia watakula bata pia.
Sasa baba yako anakuteua uwe mkuu wa mambo ya mafuta ya nchi utakosaje kuwa bilioneaaaMwanamke tajiri zaidi AFRICA
Dua la Kuku halimpati mwewe babu wacha kuota ndoto za alinacha fanya kazi babu
Sasa baba yako anakuteua uwe mkuu wa mambo ya mafuta ya nchi utakosaje kuwa bilioneaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia akaunti zake zote zimefungwa
Hata Omari Al Bashil alikuwa anasema hivi hivi ila kwa sasa yuko ananyea ndoo. Sawa hizi ni dua na subilia siku zikiwa real hata kama ni ni kizazi cha 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke tajiri zaidi AFRICA
Si amekula kona yuko ughaibuni
Ameshtakiwa kwa ufisadi