Lakini Hassan, hapana; umechanganya. Hawa jamaa wanaweza kuwa ngoma droo. Unakumbuka kile kitabu cha Msiba kilichkuwa kinaongelea wizi wa almasi Mwadui, halafu alikuwepo pale shushushu watu wakiwa wanajua kuwa ni kicha amevaa malapulapu, anaokota makopo na kula mabaki yaliyotupwa kwenye majalala ya taka, analla nje kwenye mitalo halafu muda wote anakuwa anaongea maneno "saa za afrika", kumbe alikuwa anamaanisha "South Afrika"? Uliwahi kukisoma hicho kitabu? Partly huwa nakifananisha na picha moja ya James Bond 007 inaitwa DIAMONDS ARE FOPREVER!