Jopo la Mawakili wa Said Issa Mohamed watoa tamko wakisisitiza CHADEMA haitakiwi kujihusisha na siasa

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za Chama kwa sababu Amri ya Mahakama ni kwamba ukomo wake ni hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Wakili Semfukwe alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na tamko lililotolewa Januari 23,2026 na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala, kwamba zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa Chadema lilikoma Disemba 10,2025 ikidaiwa ni miezi sita tangu zuio hilo lilipowekwa na Mahakama Kuu.

Aidha, imeelezwa kuwa zuio lilitolewa chini ya Kifungu 1 (a) na 1 (b) ya Sheria ya Mwenendo wa Madai Sura 33 inayobainisha kuwa zuio linalotolewa chini ya kanuni hiyo linadumu hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
 
Attachments

  • #HABARI- Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed n.mp4
    5.4 MB
Hao siyo mawakili bali ni mawakala wa shetani katika siasa. Hapo hawatumii weledi wa kishetia bali uchafu wa mioyo yao katika kumtumikia shetani, ndiyo maana huwezi kuona wakirejea kifungu chochote cha sheria. Rejea yao ni shetani aliyewakabidhi jukumu hilo, na huyo anafahamika wazi, ni yule muuaji mkuu wa mauaji ya Oct 25.
 
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis
Hivi hawa hawana watoto? Wazazi? Hivi chadema mbona tunakua lege-lege hivi? Hawa ni kuwafuata na nguvu ya umma mpaka majumbani watueleze nani anawalipa na kuwapush kuendelea na hii kesi!!

Tufanye mtindo wa "Los-pepes" ndio njia pekee ya kukomesha uhuni wa CCM ila hawa tukiwachekea kesi itaenda hadi 2029!!
 
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za Chama kwa sababu Amri ya Mahakama ni kwamba ukomo wake ni hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Wakili Semfukwe alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na tamko lililotolewa Januari 23,2026 na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala, kwamba zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa Chadema lilikoma Disemba 10,2025 ikidaiwa ni miezi sita tangu zuio hilo lilipowekwa na Mahakama Kuu.

Aidha, imeelezwa kuwa zuio lilitolewa chini ya Kifungu 1 (a) na 1 (b) ya Sheria ya Mwenendo wa Madai Sura 33 inayobainisha kuwa zuio linalotolewa chini ya kanuni hiyo linadumu hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
Ndio maana mwanangu nimemwambia asome islamic law na sio secular law. Ktk Islamic law hakuna mambo ya propaganda
 
Kutumika huwa kuna mwisho wake na mara nyingi huwa mbaya
 
Hivi hawa hawana watoto? Wazazi? Hivi chadema mbona tunakua lege-lege hivi? Hawa ni kuwafuata na nguvu ya umma mpaka majumbani watueleze nani anawalipa na kuwapush kuendelea na hii kesi!!

Tufanye mtindo wa "Los-pepes" ndio njia pekee ya kukomesha uhuni wa CCM ila hawa tukiwachekea kesi itaenda hadi 2029!!
Chadema kinaendeshws kwa mujibu wa sheria hilo wewe unalotaka labdo uazishe genge lako
 
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za Chama kwa sababu Amri ya Mahakama ni kwamba ukomo wake ni hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Wakili Semfukwe alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na tamko lililotolewa Januari 23,2026 na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala, kwamba zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa Chadema lilikoma Disemba 10,2025 ikidaiwa ni miezi sita tangu zuio hilo lilipowekwa na Mahakama Kuu.

Aidha, imeelezwa kuwa zuio lilitolewa chini ya Kifungu 1 (a) na 1 (b) ya Sheria ya Mwenendo wa Madai Sura 33 inayobainisha kuwa zuio linalotolewa chini ya kanuni hiyo linadumu hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
Hao ni mawakili au machawa wanaojifanya wanasheria. Nadhani hao si mawakili bali mahawara wa CCM.
 
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za Chama kwa sababu Amri ya Mahakama ni kwamba ukomo wake ni hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Wakili Semfukwe alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na tamko lililotolewa Januari 23,2026 na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala, kwamba zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa Chadema lilikoma Disemba 10,2025 ikidaiwa ni miezi sita tangu zuio hilo lilipowekwa na Mahakama Kuu.

Aidha, imeelezwa kuwa zuio lilitolewa chini ya Kifungu 1 (a) na 1 (b) ya Sheria ya Mwenendo wa Madai Sura 33 inayobainisha kuwa zuio linalotolewa chini ya kanuni hiyo linadumu hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
Maadui wa Chadema wapo kazini.
 
jamaa anaikabia juu chadema:pedroP:

yule kiongozi lofa wa chadema alietangaza chadema kuanza vikoo na mikutano ya hadhara nchi nzima sijui anajisikiaje kwa sasa, dah
 
Chadema kinaendeshws kwa mujibu wa sheria hilo wewe unalotaka labdo uazishe genge lako
Hamna enzi za Dr Slaa kulikua na Red Brigade na kurugenzi ya ulinzi na usalama iliyokua inaongozwa na Mabere Marando na kina Lwakatare walikua mpaka wanadukua mawasiliano ya serikali, nyaraka za mikataba ya kifisadi, barua za ikulu n.k sijui kile kitengo kilifia wapi!!

Walikua wanashughulika na hujuma kibao mfano "kumsalimia" Dennis msacky, kuwatuliza UVCCM waliotaka kuvuruga mikutano, kuwadaka mapandikizi n.k

So kama CCM haifuati sheria kwanini chadema ifuate? Tarehe 29 si uliona wananchi walivyovunja sheria ila ndio ujumbe pekee uliofanya CCM ianze kuheshimu wananchi
 
Ile Red brigade ndio iliwapeleka kina Lwakatare kupewa kesi ya Ugaidi.
 
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Bado hakitakiwi kujihusisha na masuala ya siasa na kutumia mali za Chama kwa sababu Amri ya Mahakama ni kwamba ukomo wake ni hadi pale kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Wakili Semfukwe alisema wamefikia hatua hiyo kutokana na tamko lililotolewa Januari 23,2026 na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rugemeleza Nshala, kwamba zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa Chadema lilikoma Disemba 10,2025 ikidaiwa ni miezi sita tangu zuio hilo lilipowekwa na Mahakama Kuu.

Aidha, imeelezwa kuwa zuio lilitolewa chini ya Kifungu 1 (a) na 1 (b) ya Sheria ya Mwenendo wa Madai Sura 33 inayobainisha kuwa zuio linalotolewa chini ya kanuni hiyo linadumu hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
Alikuwa wapi siku zote kujibu, kesha pata maelekezo toka juu. Ndo mawakili tunaowategemea kutusimamia kwenye kesi za kimataifa, tutakuja kushinda kweli kwa style hii!?
 
Back
Top Bottom