Jonathan Sowah Ndiye Mshambuliaji Hatari Zaidi NBC

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
797
Reaction score
1,849
‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara

‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho

‎Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother

‎Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga

‎Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote

‎Mpaka sasa
‎👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
‎👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
‎👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee

‎Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
 
Jamaa ni super striker anafaa kabisa kuwa yanga msimu ujao
 
Hamna mchezaji hapo, kakutana na mabeki wachovu. Msajilini huyo Sowah ili mwakani mlie na kusaga meno. Simba isiingie kwenye huu mkumbo.
 
Kama hamna mchezaji hapo subirini semi final ya CRDB
 
‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara

‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho

‎Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother

‎Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga

‎Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote

‎Mpaka sasa
‎👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
‎👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
‎👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee

‎Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
Namba hazidanganyi mkuu.
Huyu kipindi wanakutana na Yanga akiwa na timu yake ya zamani nilimuona mchezaji wa kawaida sana,huenda kwa vile alikuwa katoka majeruhi ama alitupiwa majini ya yanga asifunge.
Maana yanga wana siri za hovyo ndio maana wanawasajili wachezaji walioshindwa Simba kwa kuwa wanajua walichowafanyia wakiwa upande wa pili
 
Number hazidanganyi kaka . Uko sahihi.
 
Number pekee sio kigezo siku yoyote ana flop, Ahoua ana namba nzuri lakini ni mchezaji wa kawaida sana
 
‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara

‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho

‎Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother

‎Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga

‎Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote

‎Mpaka sasa
‎👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
‎👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
‎👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee

‎Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
Jonathan Sowah tangu akiwa na Medeama alivyocheza zile mechi mbili na Yanga nilimuona ni streka tishio sana,
Mechi ya kule Kumasi Ghana dimba la Baba Yara, alisumbua sana akasababisha penati na akafunga goli

Walipokuja kwa Mkapa nako akasumbua sana beki za Yanga mpaka akapata penati, ila bahati mbaya akakosa

Uzuri Hersi hakujishauri sana, akaongea na Gharib na Mwigulu hatimae akasajiliwa na kuwekwa kambi ndogo ya ujombani Singida huku akisubiri muda tu ufike aje kambi kuu

Ila kwa takwimu zake huyu jamaa ni tishio sana
Na anawavua nguo kina Dube
 
Hamna mchezaji hapo, kakutana na mabeki wachovu. Msajilini huyo Sowah ili mwakani mlie na kusaga meno. Simba isiingie kwenye huu mkumbo.
Hao kina Dube,Mnzinze na Ahoua walikutana na mabeki gani kufunga hizo goli walizonazonkwenye NBC. Ushabiki wa Simba na Yanga hauna tofauti na Mental Disorder aisee
 
Sasa Simba na Yanga zimeingiaje hapo wakati tunaongelea mchezaji wa Singida?

Huyo na Rupia ni wale wale tu. Ni wachezaji wa quality ndogo ila kwa ligi yetu tunaona wakali.
 
Ukiona mtu anabeza uwezo wa JS jua huyo mtu ni upinde
 
Namba hazidanganyi mkuu.
Huyu kipindi wanakutana na Yanga akiwa na timu yake ya zamani nilimuona mchezaji wa kawaida sana,huenda kwa vile alikuwa katoka majeruhi ama alitupiwa majini ya yanga asifunge.
Maana yanga wana siri za hovyo ndio maana wanawasajili wachezaji walioshindwa Simba kwa kuwa wanajua walichowafanyia wakiwa upande wa pili
Mi kwa hizo mechi niliiona ni mshambuliaji hatari na nilitamani yanga wamsajili,ana nguvu,anafunga kwa mguu na kichwa,yanga wakimsajili, Simba watakua na kazi sana msimu ujao
 
Back
Top Bottom