Yes that is Savimbi picture of 1959
savimbi1
Tizama nywele zake kwenye paji lake ka uso....
Kisha linganisha na huyu hapa inawezekana wakawa watu wawili tofauti,
Lakini niliyouliza yalilenga zaidi kwenye msimamo wake na si sura yake.....
R.I.P Savimbi