JOKATE: πŸ’š Shukrani za Dhati πŸ’š

Ameshindwa kuanza kumshukuru Mungu ameanza na Mama. Hajamshukuru Mungu kabisa aliempa afya ya kuongoza
 
Ccm bana. Unatiwa konzi la utosi halafu unalazimishwa useme asante.
No hii ni genuine appreciation, wanateuliwa watu wenye majina makubwa lakini hawana uwezo to deliver!, ukiondolewa, lazima ushukuru kwa kuaminiwa.
P
 
Uchawa tu unakusumbua

Mtu mtekaji, mfiraji na mlawiti ndiye unamsifia hivi!
 
Ila kujipendekeza ni kipaji kinacho hitaji kwanza mtu mzima uwe kama hauna akili...teh😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…