Jokate Mwegelo zaidi ya unavyomfahamu

Huyu binti kiukweli alikuwa kama Wema mwanzoni, ni watu waliokuwa so innocent, aliyewabadilisha, kilichowabadilisha?!, watu wengi hawaamini walivyobadilika, Jokate wa St. Anthony's, si Jokate wa leo, tabia vuruguvurugu
 
Kilichombadilisha ni pesa na fame...nothing else.
 
Kwa kujiinua kimaendeleo, namsifu though ni kicheche wa kimyakimya akichanganya na kuwa muabuduji mzuri na mwanakwaya kanisani, hapa ni kujaribu kulazimisha kuchanganya mafuta kwenye maji ili yasionekane, yataonekana tu, kidogokidogo watu wameshajua tabia zake zisizo nzuri, ila jamani Diamond naye, namkubali, anaimba vizuri but akicheza, ustaa, utamuua

We muache aendelee kuchezea kaa la moto...baada ya kuulinda huo msedede wake yeye anaugawa kama peremende.
 
Nachojua ni mdogo wake Constantine Magavilla aliekua Airtel,

Hayo mengine mnaniambia nyinyi!!
 
Hongera cute jokate..tengeneza ela mama..ndo cha muhimu..mengineyo ziada
 
Namfahamu kitambo tangu alipokuwa headgal wangu pale loyola.. She's rly gifted ila haya mambo ya 'diamond' yanamshushia sana heshima yake.. Binafsi namheshimu sana 2!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa hiyo hata akitengeneza hela kwa njia zisizo halali ni poa tu?

Do u know her personal?au unamjua kupitia Shigongo. Then je hela zisizo za alali colourles,au ni hizi tunazozichop wote!?
Je kaiba?Kama kahongwa unaushahidi?
Usimjudge mtu kwa kusimuliwa,No one is perfect,u know
 
No need of explanation for the things no one will believe any explanation.
 
toka ahusishwe na skendo ya kumpora bwana malaya mwenzake wema sepetu- 'diamond' nimemshusha sana.namchukulia kama kahaba mwenye viwango kwa kila afanyalo,thenkyuu!

naona kama unafanana. na mimi vile kimawazo...ila kwa haya mazuri hongera zake.
 
Back
Top Bottom